Kikao cha Wadau wa Madini ya TANZANITE kilmefanyika leo 10/7/2021 katika Mji Mdogo Wa Mirerani Wilayani Simanjiro kilichohudhuriwa na Viongozi mbalimbali pamoja na Wadau wa Madini hayo .Hii ni hatua mojawapo ya kutekeleza maagizo ya Mh.Waziri Mkuu wa Tanzania aliyoyatoa katika Ziara yake ya Tarehe 7/7/2021 katika Mji mdogo wa Mirerani kuhusiana na kuanzishwa kwa viwanda vya kuongeza thamani ya Madini hayo katika mji mdogo wa Mirerani pamoja na uanzishaji wa masoko ya Madini hayo ya TANZANITE katika Mji huo.
copyright@2016 Halmashauri ya Wilaya Simanjiro.Haki zote zimehifadhiwa