• Email za Serikali |
    • Malalamiko |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Mawasiliano |
    • Mifumo |
Simanjiro District Council
Simanjiro District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro

  • Mwanzo
  • About us
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Administration
    • Muundo wa Halmashauri
    • Sehemu
      • Infastructure,Rural and Urban Development
        • Works
        • Roads
        • Rural & Urban Development
      • Health,Social Walfare & Nutrition Services
        • Health Services
        • Nutrition Services
        • Social Walfare
      • Industry ,Trade and Investment
        • Industry Development & Investment
        • Trade & Marketing
      • Pre-Primary & PPrimary Education
        • Academics
        • Special Needs Education
        • Adult & Non Formal Education
      • Seconadry Education
        • Academics
        • Statistics & Logistics
        • Special Needs
        • Adult & Non Formal Education
      • Community Development
        • Cross-Cutting Issues Cordination
        • Ngos's & Cbos's Coordination
      • Agriculture,Livestock and Fisheries
        • Agriculture
        • Livestock
        • Fisheries
      • Administration & Human Resources Management
        • Human Resource Management
        • Utawala
      • Planning and Coordination
        • Planning and Budgeting
        • Monitoring and Evaluation
      • LGA'S LAND ADMINISTRATION OFFICE-Ministry of Land ,Housing and Humman Settlement
    • Vitengo
      • Sports,Culture & Arts
      • ICT Unit
      • Government Communication Unit
      • Waste Management & Sanitation Unit
      • Legal Services Unit
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • Natural Resources & Environment Unit
      • Finance & Accounts Unit
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Utoaji wa Leseni za Biashara
    • Utoaji wa Lesseni za Vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa Leseni Za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya Asilimia Kumi(10%)
    • Upimaji wa Ardhi
    • Usajili wa Vikundi vya Kijamii
    • Uandikishaji wa Bima ya Afya ya Jamii(iCHF)
    • Utoaji wa Vitambulisho vya Wajasiriamali Wadogo
    • Kulipia Tozo Za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
    • Suku ya Kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Report
    • Vipeperushi
    • Miongozo Mbalimbali
    • By Laws
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Hotuba

Miradi inayoendelea

TAARIFA YA UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO KWA  FEDHA ZA SERIKALI KUU  KWA MWAKA 2022/23



IDARA YA UTAWALA






NA. JINA LA MRADI MWAKA WA UTEKELEZAJI FEDHA TENGWA  FEDHA ZILIZOTOLEWA CHANZO CHA MRADI MAHALI MRADI ULIPO HATUA YA UTEKELEZAJI HALI YA MRADI
49 Kuwezesha ukamilishaji wa Jengo la Watumishi wa Makao Makuu ifikapo Juni 2023 2022/23        1,000,000,000 0 Serikali mkuu Kijiji cha Naroksoito Ujenzi unaendelea Bado haujakamilika

JUMLA
       1,000,000,000























TAARIFA YA UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO KWA  FEDHA ZA SERIKALI KUU  KWA MWAKA 2022/23


IDARA YA ELIMU MSINGI






NA. JINA LA MRADI MWAKA WA UTEKELEZAJI FEDHA TENGWA  FEDHA TOLEWA CHANZO CHA MRADI MAHALI MRADI ULIPO HATUA YA UTEKELEZAJI HALI YA MRADI
50 Kuwezesha ujenzi wa madarasa 2 shule ya msingi Komolo ifikapo Juni, 2023 2022/23 25,000,000 0 Serikali kuu Kijiji cha Komolo Haujaanza kutekelezwa Bado haujakamilika
51 Kuwezesha ujenzi wa madarasa 2 shule ya msingi Naberera ifikapo Juni, 2023 2022/23 50,000,000 0 Serikali kuu Kijiji cha Naberera Haujaanza kutekelezwa Bado haujakamilika
52 Kuwezesha ujenzi wa darasa 1 shue ya msingi Msitu wa Tembo ifikapo Juni, 2023 2022/23 25,000,000 0 Serikali kuu Kijiji cha Msitu wa Tembo Haujaanza kutekelezwa Bado haujakamilika
53 Kuwezesha ujenzi wa madarasa 2 shule ya msingi Ruvu Remit ifikapo Juni, 2023 2022/23 50,000,000 0 Serikali kuu Kijiji cha Ruvu Remit Haujaanza kutekelezwa Bado haujakamilika
54 Kuwezesha ujenzi wa madarasa 2 shule ya msingi  Loondrokes ifikapo Juni, 2023 2022/23 31,250,000 0 Serikali kuu Kijiji cha Loondrokes Haujaanza kutekelezwa Bado haujakamilika
55 Kuwezesha ujenzi wa madarasa 2 shule ya msingi Naberera ifikapo Juni, 2023 2022/23 25,000,000 0 Serikali kuu Kijiji cha Naberera Haujaanza kutekelezwa Bado haujakamilika
56 Kuwezesha ujenzi wa madarasa 2 shule ya msingi  Oiborkishu ifikapo Juni, 2023 2022/23 25,000,000 0 Serikali kuu Kijiji cha Loiborsoit B Haujaanza kutekelezwa Bado haujakamilika
57 Kuwezesha ujenzi wa madarasa 2 shule ya msingi  Terrat ifikapo Juni, 2023 2022/23 25,000,000 0 Serikali kuu Kijiji cha Terrat Haujaanza kutekelezwa Bado haujakamilika
58 Kuwezesha ujenzi wa madarasa 2 na ukarabati wa darasa 1 shule ya msingi  Orkesumet ifikapo Juni, 2023 2022/23 30,000,000 0 Serikali kuu Kata ya Orkesumet Haujaanza kutekelezwa Bado haujakamilika
59 Kusaidia ujenzi wa matundu 11 ya choo shule ya msingi Shambarai sertilite (Kandaskira) 2022/23 11,000,000 0 Serikali kuu Kijiji cha Shambarai Haujaanza kutekelezwa Bado haujakamilika
60 Kusaidia ujenzi wa matundu 11 ya choo shule ya msingi Lemkuna sertilite ( Lengungumwa ) ifikapo Juni,2023 2022/23 11,000,000 0 Serikali kuu Kijiji cha Lemkuna Haujaanza kutekelezwa Bado haujakamilika
61 Kusaidia ujenzi wa matundu 8 ya choo shule ya msingi Namalulu sertilite ( Ormot ) ifikapo Juni,2023 2022/23 11,000,000 0 Serikali kuu Kijiji cha Namalulu Haujaanza kutekelezwa Bado haujakamilika
62 Kuwezesha ujenzi wa Nyumba 1 ya walimu shule ya msingi Emishiye ifikapo Juni, 2023 2022/23 40,000,000 0 Serikali kuu Kijiji cha Emishiye Haujaanza kutekelezwa Bado haujakamilika
63 Kuwezesha ujenzi wa Nyumba 1 ya walimu shule ya msingi Komolo ifikapo Juni, 2023 2022/23 40,000,000 0 Serikali kuu Kijiji cha Komolo Haujaanza kutekelezwa Bado haujakamilika
64 Kuwezesha ujenzi wa Nyumba 1 ya walimu shule ya msingi Lemoot ifikapo Juni, 2023 2022/23 40,000,000 0 Serikali kuu Kijiji cha Lemoot Haujaanza kutekelezwa Bado haujakamilika
65 Kuwezesha ujenzi wa Nyumba 1 ya walimu shule ya msingi Majengo ifikapo Juni, 2023 2022/23 40,000,000 0 Serikali kuu Kijiji cha Kiruani Haujaanza kutekelezwa Bado haujakamilika
66 Kuwezesha ujenzi wa Nyumba 1 ya walimu shule ya msingi Oiborkishu ifikapo Juni, 2023 2022/23 40,000,000 0 Serikali kuu Kijiji cha Oiborkishu Haujaanza kutekelezwa Bado haujakamilika

JUMLA
519,250,000









































TAARIFA YA UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO KWA  FEDHA ZA SERIKALI KUU  KWA MWAKA 2022/23


IDARA ELIMU SEKONDARI






NA. JINA LA MRADI MWAKA WA UTEKELEZAJI FEDHA TENGWA  FEDHA ZILIZOTOLEWA CHANZO CHA MRADI MAHALI MRADI ULIPO HATUA YA UTEKELEZAJI HALI YA MRADI
68 Kuwezesha ukamilishaji wa Bweni 1 shule ya sekondari Loborsiret ifikapo Juni, 2023 2022/23 20,000,000 0 Serikali Kuu Kijiji cha Loiborsiret Haujaanza kutekelezwa Bado haujakamilika

JUMLA
20,000,000














TAARIFA YA UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO KWA  FEDHA ZA USAFI WA MAZINGIRA  KWA  MWAKA 2022/23


IDARA YA AFYA






NA. JINA LA MRADI MWAKA WA UTEKELEZAJI FEDHA TENGWA  FEDHA ZILIZOTOLEWA CHANZO CHA MRADI MAHALI MRADI ULIPO HATUA YA UTEKELEZAJI HALI YA MRADI
69 Kuwezesha ujenzi wa vyoo na wodi ya kujifungulia pamoja na mifumo ya maji  katika Zahanati  ya Lengasit ifikapo Juni,2023 2022/23 30,000,000 0 Fedha za usafi wa mazingira Kijiji cha Lengasit Haujaanza kutekelezwa Bado haujakamilika
70 Kuwezesha ujenzi wa vyoo na wodi ya kujifungulia pamoja na mifumo ya maji Zahanati ya Ngorika ifikapo Juni,2023 2022/23 30,000,000 0 Fedha za usafi wa mazingira Kijiji cha Ngorika Haujaanza kutekelezwa Bado haujakamilika
71 Kuwezesha ujenzi wa vyoo na wodi ya kujifungulia pamoja na mifumo ya maji Zahahanati ya Nyumba ya Mungu ifikapo Juni,2023 2022/23 60,000,000 0 Fedha za usafi wa mazingira Kijiji cha Nyumba ya Mungu Haujaanza kutekelezwa Bado haujakamilika
72 Kuwezesha ujenzi wa vyoo na wodi ya kujifungulia pamoja na mifumo ya maji zahanati ya  Olchoronyori ifikapo Juni,2023 Kazi haijafanyika 30,000,000 0 Fedha za usafi wa mazingira Kijiji cha Olchoronyori Haujaanza kutekelezwa Bado haujakamilika
73 Kuwezesha ujenzi wa vyoo na wodi ya kujifungulia pamoja na mifumo ya maji Zahanati ya  Ruvu Remit  ifikapo Juni,2023 Kazi haijafanyika 30,000,000 0 Fedha za usafi wa mazingira Kijiji cha Ruvu Remit Haujaanza kutekelezwa Bado haujakamilika
74 Kuwezesha ujenzi wa vyoo na wodi ya kujifungulia pamoja na mifumo ya maji Zahanati ya   Okutu  ifikapo Juni,2023 Kazi haijafanyika 40,000,000 0 Fedha za usafi wa mazingira Kijiji cha Okutu Haujaanza kutekelezwa Bado haujakamilika
75 Kuwezesha ujenzi wa vyoo na wodi ya kujifungulia pamoja na mifumo ya maji Zahanati ya   Lemkuna  ifikapo Juni,2023 Kazi haijafanyika 30,000,000 0 Fedha za usafi wa mazingira Kijiji cha Lemkuna Haujaanza kutekelezwa Bado haujakamilika
76 Kuwezesha ujenzi wa vyoo na wodi ya kujifungulia pamoja na mifumo ya maji Zahanatii ya   Olbil  ifikapo Juni,2023 Kazi haijafanyika 44,000,000 0 Fedha za usafi wa mazingira Kijiji cha Olbil Haujaanza kutekelezwa Bado haujakamilika
77 Kuwezesha ujenzi wa vyoo na wodi ya kujifungulia pamoja na mifumo ya maji Zahanati ya   Irkujit  ifikapo Juni,2023 Kazi haijafanyika 40,000,000 0 Fedha za usafi wa mazingira Kijiji cha Irkujit Haujaanza kutekelezwa Bado haujakamilika

JUMLA
334,000,000









































TAARIFA YA UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO KWA  FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO KWA  MWAKA 2022/23

NA. JINA LA MRADI MWAKA WA UTEKELEZAJI FEDHA TENGWA  FEDHA ZILIZOTOLEWA CHANZO CHA MRADI MAHALI MRADI ULIPO HATUA YA UTEKELEZAJI HALI YA MRADI
69 Kuwezesha kutekeleza miradi ya maendeleo katika maeneo husika ifikapo Juni 2023 2022/23 88,315,000.00 0 Mfuko wa Jimbo
Haujaanza kutekelezwa Bado haujakamilika

JUMLA
88,315,000














TAARIFA YA UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO KWA  FEDHA ZA TASAF KWA  MWAKA 2022/23

NA. JINA LA MRADI MWAKA WA UTEKELEZAJI FEDHA TENGWA  FEDHA ZILIZOTOLEWA CHANZO CHA MRADI MAHALI MRADI ULIPO HATUA YA UTEKELEZAJI HALI YA MRADI
70 Kuwezesha kutoa misaada kwa kaya ya maskini ifikapo Juni 2023 2022/23 2,220,737,000 0 Fedha za TASAF
Utoaji wa misaada kwa
wanufaika unaendelea
Mradi unaendelea

JUMLA
2,220,737,000




Matangazo

  • Wanafunzi waliochaguliwa Shule za Vipaji maalumu,Ufundi,Bweni kawaida na shule maalumu 2023 December 14, 2022
  • wavulana waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2023 simanjiro day schools December 14, 2022
  • wasichana waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2023 Wilaya ya Simanjiro day schools December 14, 2022
  • Tangazo la Ajira Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro May 23, 2022
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • Nyerere day

    October 14, 2024
  • Mkutano wa wadau kuhusu utoaji wa maoni ya Dira ya Maendeleo ya mwaka 2050

    July 29, 2024
  • MWENGE WA UHURU

    July 16, 2024
  • Kifo Cha Raisi awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi 2024

    February 29, 2024
  • Ona vyote

Video

Mh.Dr Serera azindua kipindi cha Pili awamu ya Tatu ya TASAF Wilayani Simanjiro
video Zaidi

Fika kwa Haraka

  • Government Mailing System
  • Mission and Vision
  • Organization Structure
  • Completed Projects

Kiungo Muunganisho

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Matokeo kidato cha sita 2021
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Idara ya Habari-Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Government Mailing System

copyright@2016 Halmashauri ya Wilaya Simanjiro.Haki zote zimehifadhiwa