• Email za Serikali |
    • Malalamiko |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Mawasiliano |
    • Mifumo |
Simanjiro District Council
Simanjiro District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro

  • Mwanzo
  • About us
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Administration
    • Muundo wa Halmashauri
    • Sehemu
      • Infastructure,Rural and Urban Development
        • Works
        • Roads
        • Rural & Urban Development
      • Health,Social Walfare & Nutrition Services
        • Health Services
        • Nutrition Services
        • Social Walfare
      • Industry ,Trade and Investment
        • Industry Development & Investment
        • Trade & Marketing
      • Pre-Primary & PPrimary Education
        • Academics
        • Special Needs Education
        • Adult & Non Formal Education
      • Seconadry Education
        • Academics
        • Statistics & Logistics
        • Special Needs
        • Adult & Non Formal Education
      • Community Development
        • Cross-Cutting Issues Cordination
        • Ngos's & Cbos's Coordination
      • Agriculture,Livestock and Fisheries
        • Agriculture
        • Livestock
        • Fisheries
      • Administration & Human Resources Management
        • Human Resource Management
        • Utawala
      • Planning and Coordination
        • Planning and Budgeting
        • Monitoring and Evaluation
      • LGA'S LAND ADMINISTRATION OFFICE-Ministry of Land ,Housing and Humman Settlement
    • Vitengo
      • Sports,Culture & Arts
      • ICT Unit
      • Government Communication Unit
      • Waste Management & Sanitation Unit
      • Legal Services Unit
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • Natural Resources & Environment Unit
      • Finance & Accounts Unit
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Utoaji wa Leseni za Biashara
    • Utoaji wa Lesseni za Vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa Leseni Za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya Asilimia Kumi(10%)
    • Upimaji wa Ardhi
    • Usajili wa Vikundi vya Kijamii
    • Uandikishaji wa Bima ya Afya ya Jamii(iCHF)
    • Utoaji wa Vitambulisho vya Wajasiriamali Wadogo
    • Kulipia Tozo Za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
    • Suku ya Kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Report
    • Vipeperushi
    • Miongozo Mbalimbali
    • By Laws
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Hotuba

Sherehe za sikukuu ya Wafanyakazi Wilayani Simanjiro

Imetumwa lini: May 1st, 2021

Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Simanjiro Bw.Yefred Myenzi akitoa salamu za muajiri kwa niaba ya Baraza la Madiwani wa Wilaya ya Simanjiro katika sherehe za siku ya wafanyakazi duniani yaliyofanyika kiwilaya katika mji mdogo wa Orkesumet Wilayani Simanjiro.

Mkurugezi mtendaji alianza kwa kusema kuwa hadi sasa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro ina watumishi wapatao 890 na inatakiwa kuwa na watumishi 2500 ,hivyo Halmashauri ina uhaba mkubwa wa watumishi ,alimuomba Mh. Mgeni  Rasmi ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro aliyewasilishwa na Katibu Tawala wa Wilaya Bi. Zuwena Ommary  kulichukua suala hilo na kulifikisha katika ngazi za juu serikalini.Aliendelea kwa kusema kuwa Halmashauri ya Wilaya imejitahidi kujenga nyumba za makazi ya Waalimu kutoka nyumba 44  mwaka 2015 hadi kufikia nyumba 66 mwaka 2020,kuongeza vyumba vya madarasa ,shule za msingi kutoka 86 mwaka 2015 hadi shule 96 mwaka 2020,matundu ya vyoo toka 211 mwaka 2015 hadi 1005 mwaka 2020.

Aidha alisema kutokana na jitihada hizo za kuboresha maslahi ya waalimu pamoja na miundombinu kwa wanafuzi ufaulu  kwa shule za msingi umeongezeka kutoka 49% mwaka 2015 hadi 72% mwaka 2020 na ufaulu wa shule za sekondari umeongezeka kutoka 25% mwaka 2015 hadi 96% mwaka 2020.

Mkurugenzi Mtendaji aliendelea kwa kusema kuwa Halmashauri  imefanikiwa kuongeza wigo makusanyo ya mapato ya ndani kutoka billion 1.1 mwaka 2015 hadi biloni 2.3 mwaka 2020.ambako ni ongezeko la zaidi ya silimia 100% kwa kipindi hicho cha miaka mitano.

Ailongeza akwa kusema kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro ilitenga shilingi milioni 183 ya makusanyo yake ya ndani kwa ajili ya kuwakopesha vikundi vya wakina mama vijana na watu wenye ulemavu bila riba yoyote na hadi sasa Halmashauri imekwisha toa asilimia 80% ya pesa hizo .Hadi kufikia leo tarhe 1/5/2020halmashauri imekopesha shilingi 400 milioni kwa ajilai ya vikundi hivyo pesa iliyotokana na mapato ya ndani na marejesho ya vikundi vilivyokopeshwa awali.

Aidha Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya aliendelea kusema kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro imekwisha toa stahiki ya likizo kwa kada ya ualimu ambao wanatarajia kuanza likizo mwenzi June 2021 pindi shule zitakapofungwa. Halmashauri inaendelea kutoa usaidizi kwa watumishi wenye maradhi sugu kwa kuwawezesha fedha za kujikimu wanapohudhuria kliniki katika hospitali watazokwenda,pamoja na kuwalipia ada watumishi pindi wanapokwenda mafunzo mbalimbali ambayo yana tija kwa  Halmashauri.Pia aliendelea kusema kuwa hadi mwenzi Aprili mwaka 2021 jumla ya Watumishi 400 walipandishwa madaraja na watumishi walibaki watapandishwa madaraja hivi karibuni ikiwa watakuwa na vigezo na sifa za  kupandishwa madaraja.

Alihitimisha kwa kuwataka watumishi kupendana ,kushikamana na kushirikiana katika shughuli mbalimbali za serikali.

Matangazo

  • Wanafunzi waliochaguliwa Shule za Vipaji maalumu,Ufundi,Bweni kawaida na shule maalumu 2023 December 14, 2022
  • wavulana waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2023 simanjiro day schools December 14, 2022
  • wasichana waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2023 Wilaya ya Simanjiro day schools December 14, 2022
  • Tangazo la Ajira Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro May 23, 2022
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • Nyerere day

    October 14, 2024
  • Mkutano wa wadau kuhusu utoaji wa maoni ya Dira ya Maendeleo ya mwaka 2050

    July 29, 2024
  • MWENGE WA UHURU

    July 16, 2024
  • Kifo Cha Raisi awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi 2024

    February 29, 2024
  • Ona vyote

Video

Mh.Dr Serera azindua kipindi cha Pili awamu ya Tatu ya TASAF Wilayani Simanjiro
video Zaidi

Fika kwa Haraka

  • Government Mailing System
  • Mission and Vision
  • Organization Structure
  • Completed Projects

Kiungo Muunganisho

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Matokeo kidato cha sita 2021
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Idara ya Habari-Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Government Mailing System

copyright@2016 Halmashauri ya Wilaya Simanjiro.Haki zote zimehifadhiwa