• Email za Serikali |
    • Malalamiko |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Mawasiliano |
    • Mifumo |
Simanjiro District Council
Simanjiro District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro

  • Mwanzo
  • About us
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Administration
    • Muundo wa Halmashauri
    • Sehemu
      • Infastructure,Rural and Urban Development
        • Works
        • Roads
        • Rural & Urban Development
      • Health,Social Walfare & Nutrition Services
        • Health Services
        • Nutrition Services
        • Social Walfare
      • Industry ,Trade and Investment
        • Industry Development & Investment
        • Trade & Marketing
      • Pre-Primary & PPrimary Education
        • Academics
        • Special Needs Education
        • Adult & Non Formal Education
      • Seconadry Education
        • Academics
        • Statistics & Logistics
        • Special Needs
        • Adult & Non Formal Education
      • Community Development
        • Cross-Cutting Issues Cordination
        • Ngos's & Cbos's Coordination
      • Agriculture,Livestock and Fisheries
        • Agriculture
        • Livestock
        • Fisheries
      • Administration & Human Resources Management
        • Human Resource Management
        • Utawala
      • Planning and Coordination
        • Planning and Budgeting
        • Monitoring and Evaluation
      • LGA'S LAND ADMINISTRATION OFFICE-Ministry of Land ,Housing and Humman Settlement
    • Vitengo
      • Sports,Culture & Arts
      • ICT Unit
      • Government Communication Unit
      • Waste Management & Sanitation Unit
      • Legal Services Unit
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • Natural Resources & Environment Unit
      • Finance & Accounts Unit
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Utoaji wa Leseni za Biashara
    • Utoaji wa Lesseni za Vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa Leseni Za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya Asilimia Kumi(10%)
    • Upimaji wa Ardhi
    • Usajili wa Vikundi vya Kijamii
    • Uandikishaji wa Bima ya Afya ya Jamii(iCHF)
    • Utoaji wa Vitambulisho vya Wajasiriamali Wadogo
    • Kulipia Tozo Za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
    • Suku ya Kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Report
    • Vipeperushi
    • Miongozo Mbalimbali
    • By Laws
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Hotuba

Mkurugenzi Mtendaji(W) akizindua mafunzo ya Usajili wa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto wenye umri chini ya miaka 5

Imetumwa lini: May 7th, 2021

Mkurugenzi Mtendaji(W) Bw. Yefred Myenzi akizindua mafunzo ya Usajili wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano.Mafunzo hayo yalifanyika leo tarehe 7/5/2021 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro,Mafunzo yaliyohudhuriwa na Timu ya Hamasa(W) ikiongozwa na Mratibu wa Usajili (W) ambaye ni Afisa Ustawi wa jamii Wilaya,Waratibu wa RCH katika Hospitali,Vituo vya Afya pamoja na Zahanati zote zilizopo Wilayani Simanjiro,Watendaji wa kata zote 18 pamoja na wasaidizi wao,Waratibu elimu kata wa kata zote Wilayani Simanjiro.

Mkurugenzi Mtendaji(W) alisema kuwa mafunzo hayo yatadumu kwa muda wa siku 3  na badaa ya hapo Uzinduzi wa campaign utafanyika siku ya tarehe  10/5/2021 na baadaye zoezi la kusajili litaendelea kwa kasi kwa siku 12 katika vituo vyote vya afya,Ofisi za kata pamoja na baadhi ya Ofisi za vijiji. Mkurugenzi  Mtendaji (W) aliwasisitiza washiriki kushiriki kikamilifu mafunzo hayo ili watakapomaliza mafunzo wakatende kazi kwa ufanisi katika vituo  vyao.Pia alisisitiza uhamasishaji kwa wazazi ili wahudhurie kusajili watoto wao katika vituo vya tiba na kwa watendaji wa kata .Mkurugenzi mtendaji aliendelea kwa kussema  kuwa vyeti hivyo vitatolewa bila malipo na vyeti hivyo ni haki ya Mtoto ambaye hana cheti hicho pia  ni utambulisho wa kwanza wa mtoto na atakitumia kupata huduma nyingine nyingi za msingi kama elimu,matibabu ,ajira na nyinginezo  na alisisitiza kuwa cheti hicho ni halali kabisa na atakitumia hata baada ya kuvuka umri wa miaka mitano.

Matangazo

  • Wanafunzi waliochaguliwa Shule za Vipaji maalumu,Ufundi,Bweni kawaida na shule maalumu 2023 December 14, 2022
  • wavulana waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2023 simanjiro day schools December 14, 2022
  • wasichana waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2023 Wilaya ya Simanjiro day schools December 14, 2022
  • Tangazo la Ajira Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro May 23, 2022
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • Nyerere day

    October 14, 2024
  • Mkutano wa wadau kuhusu utoaji wa maoni ya Dira ya Maendeleo ya mwaka 2050

    July 29, 2024
  • MWENGE WA UHURU

    July 16, 2024
  • Kifo Cha Raisi awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi 2024

    February 29, 2024
  • Ona vyote

Video

Mh.Dr Serera azindua kipindi cha Pili awamu ya Tatu ya TASAF Wilayani Simanjiro
video Zaidi

Fika kwa Haraka

  • Government Mailing System
  • Mission and Vision
  • Organization Structure
  • Completed Projects

Kiungo Muunganisho

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Matokeo kidato cha sita 2021
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Idara ya Habari-Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Government Mailing System

copyright@2016 Halmashauri ya Wilaya Simanjiro.Haki zote zimehifadhiwa