• Email za Serikali |
    • Malalamiko |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Mawasiliano |
    • Mifumo |
Simanjiro District Council
Simanjiro District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro

  • Mwanzo
  • About us
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Administration
    • Muundo wa Halmashauri
    • Sehemu
      • Infastructure,Rural and Urban Development
        • Works
        • Roads
        • Rural & Urban Development
      • Health,Social Walfare & Nutrition Services
        • Health Services
        • Nutrition Services
        • Social Walfare
      • Industry ,Trade and Investment
        • Industry Development & Investment
        • Trade & Marketing
      • Pre-Primary & PPrimary Education
        • Academics
        • Special Needs Education
        • Adult & Non Formal Education
      • Seconadry Education
        • Academics
        • Statistics & Logistics
        • Special Needs
        • Adult & Non Formal Education
      • Community Development
        • Cross-Cutting Issues Cordination
        • Ngos's & Cbos's Coordination
      • Agriculture,Livestock and Fisheries
        • Agriculture
        • Livestock
        • Fisheries
      • Administration & Human Resources Management
        • Human Resource Management
        • Utawala
      • Planning and Coordination
        • Planning and Budgeting
        • Monitoring and Evaluation
      • LGA'S LAND ADMINISTRATION OFFICE-Ministry of Land ,Housing and Humman Settlement
    • Vitengo
      • Sports,Culture & Arts
      • ICT Unit
      • Government Communication Unit
      • Waste Management & Sanitation Unit
      • Legal Services Unit
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • Natural Resources & Environment Unit
      • Finance & Accounts Unit
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Utoaji wa Leseni za Biashara
    • Utoaji wa Lesseni za Vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa Leseni Za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya Asilimia Kumi(10%)
    • Upimaji wa Ardhi
    • Usajili wa Vikundi vya Kijamii
    • Uandikishaji wa Bima ya Afya ya Jamii(iCHF)
    • Utoaji wa Vitambulisho vya Wajasiriamali Wadogo
    • Kulipia Tozo Za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
    • Suku ya Kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Report
    • Vipeperushi
    • Miongozo Mbalimbali
    • By Laws
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Hotuba

Mh.Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Dr.Suleiman Hassan Serera katika kikao kazi na Wakuu wa Idara na Vitengo

Imetumwa lini: July 1st, 2021

Mh. Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Dr.Suleiman Hassan Serera akizungumza na Wakuu wa Idara na Vitengo  wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro katika kikao kazi cha Kuwasilisha Mipango mikakati na Bajeti ya Idara na Vitengo hivyo kwa mwaka wa fedha 2021/2022. Kikao kilichofanyia leo tarehe 1/7/2021 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro.

Mh. Mkuu wa Wilaya aliwaagiza wakuu wa Idara za elimu kuweka mikakati mizuri ya kupunguza na kuondoa tatizo la utoro pamoja na mimba kwa wanafunzi.

Mh.Mkuu wa Wilaya alishauri wakuu hao wa Idara kushirikisha wazawa walioelimika kushawishi  wazazi kupeleka watoto wao shule na kuhakikisha wanafunzi wanahudhuria  masomo kwa kipindi chote cha muhula wa masomo.Pia alishauri kuimarisha mfumo  wa elimu kwa watu wazima (MEMKWA).

Aidha Mh. Mkuu wa Wilaya alimshauri Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya kuanzisha karakana maalumu ya Halmashauri ili kupunguza gharama za utengenezaji wa madawati pamoja na ukarabati wa Madawati chakavu.

Pia Mh Mkuu wa Wilaya aliwaagiza Maafisa Elimu ngazi ya Wilaya  pamoja na Waratibu wa Elimu kata kutoa taarifa za ufundishaji pamoja na Maudhurio ya  Walimu shuleni ,pia aliagiza walimu kumaliza syllabus kwa wakati ili kutoa muda mrefu wa wanafunzi kujiaanda na mitihani mbalimbali.

Katika Idara ya Afya  Mh. Mkuu wa Wilaya alimuagiza Mganga Mkuu wa Wilaya kuhakikisha dawa zinapatikana muda wote katika zahanati,vituo vya Afya pamoja na Hospitali za Wilaya.Pia alihimiza matumizi ya Mfumo wa Got-homis  ili kuimarisha ukusanyaji wa taarifa mbalimbali za Afya pamoja na kuongeza Ufanisi wa Ukusanyaji wa mapato ya papo kwa papo,User fees,iCHF katika vituo hivyo.

Mh . Mkuu wa Wilaya alimuagiza Afisa Lishe wa Halmashauri kuwajengea uwezo walimu wa lishe katika shule za msingi na sekondari ili wamsaidie kuelimisha  wazazi pamoja na wanafunzi umuhimu wa lishe bora kwa watoto.

Mh.Mkuu wa Wilaya pia aliagiza uhamasishaji wa  wananchi kujiunga na Mfuko wa bima ya Afya iliyoboreshwa (iCHF) kwa wananchi ili kuimarisha mfuko huo  ili uweze kuhudumia wananchi kwa gharama nafuu.

Katika idara ya Mifugo    Mh. Mkuu wa Wilaya alimuagiza Afisa Mifugo kuhakikisha anaweka mikakati ya kuongeza majosho ya Mifugo,kuongeza kiwango cha utoaji wa madawa na chanjo za mifugo kwa bei nafuu,kutenga maeneo kwa ajili ya malisho ya mifugo,kuwawezesha   jamii ya wavuvi kwa kuwapatia zana bora za uvuvi kwa mikopo,pamoja na kubuni vyanzo vipya vya mapato vinavyotokana na mazao ya mifugo.

Katika Idara ya Kilimo Mh. Mkuu wa Wilaya  alimuagiza Afisa Kilimo kusimamia vizuri scheme za umwagiliaji  ,kupata taawimu za tathmini ya Hali ya chakula katika Wilaya.

Mh.Mkuu wa Wilaya aliwaagiza  Maafisa Watendaji wa Miji Midogo ya Orkesumet na Mirerani kubuni vyanzo mbalimbali vya mapato  ili Mamlaka hizo ziweze kujiendesha na kupunguza utegemezi  kwa Halmashauri ya Wilaya.

Mh. Mkuu wa Wilaya alimuagiza Mweka Hazina wa Wilaya kusimamia vizuri ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri ,Pia aliagiza watendaji wa Vijiji na kata kubandika Taarifa za Mapato yatokanayo na michango ya wananchi  katika mbao za matangazo za ofisi zao.

Mh Mkuu wa Wilaya alimuagiza Mkuu wa Idara ya Mazingira na Usafi kuongeza  kiwango cha upandaji wa miti pamoja na kusimamia vizuri utunzaji wa Mazingira.

Ktika Idara ya Maendeleo ya Jamii Mh. Mkuu wa Wilaya alimuagiza Afisa Maendeleo ya Jamii wa Wilaya kuongeza kiwango cha utoaji wa Mikopo kwa Vijana wakinamama na Watu wenye ulemavu pamoja na Kufuatilia marejesho kutoka katika vikundi vilivyokopeshwa ili wananchi wengine wapate fursa ya kukopa .

Mwisho Mh. Mkuu wa Wilaya aliagiza watendaji wa Wilaya Kushirikiana ili kutimiza malengo ya Wilaya pamoja na  malengo yaliyoanishwa katika Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2020 ili kuwaletea wananchi maendeleo pamoja na Kutoa huduma  za msingi kwa jamii.

Matangazo

  • Wanafunzi waliochaguliwa Shule za Vipaji maalumu,Ufundi,Bweni kawaida na shule maalumu 2023 December 14, 2022
  • wavulana waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2023 simanjiro day schools December 14, 2022
  • wasichana waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2023 Wilaya ya Simanjiro day schools December 14, 2022
  • Tangazo la Ajira Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro May 23, 2022
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • Nyerere day

    October 14, 2024
  • Mkutano wa wadau kuhusu utoaji wa maoni ya Dira ya Maendeleo ya mwaka 2050

    July 29, 2024
  • MWENGE WA UHURU

    July 16, 2024
  • Kifo Cha Raisi awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi 2024

    February 29, 2024
  • Ona vyote

Video

Mh.Dr Serera azindua kipindi cha Pili awamu ya Tatu ya TASAF Wilayani Simanjiro
video Zaidi

Fika kwa Haraka

  • Government Mailing System
  • Mission and Vision
  • Organization Structure
  • Completed Projects

Kiungo Muunganisho

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Matokeo kidato cha sita 2021
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Idara ya Habari-Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Government Mailing System

copyright@2016 Halmashauri ya Wilaya Simanjiro.Haki zote zimehifadhiwa