• Email za Serikali |
    • Malalamiko |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Mawasiliano |
    • Mifumo |
Simanjiro District Council
Simanjiro District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro

  • Mwanzo
  • About us
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Administration
    • Muundo wa Halmashauri
    • Sehemu
      • Infastructure,Rural and Urban Development
        • Works
        • Roads
        • Rural & Urban Development
      • Health,Social Walfare & Nutrition Services
        • Health Services
        • Nutrition Services
        • Social Walfare
      • Industry ,Trade and Investment
        • Industry Development & Investment
        • Trade & Marketing
      • Pre-Primary & PPrimary Education
        • Academics
        • Special Needs Education
        • Adult & Non Formal Education
      • Seconadry Education
        • Academics
        • Statistics & Logistics
        • Special Needs
        • Adult & Non Formal Education
      • Community Development
        • Cross-Cutting Issues Cordination
        • Ngos's & Cbos's Coordination
      • Agriculture,Livestock and Fisheries
        • Agriculture
        • Livestock
        • Fisheries
      • Administration & Human Resources Management
        • Human Resource Management
        • Utawala
      • Planning and Coordination
        • Planning and Budgeting
        • Monitoring and Evaluation
      • LGA'S LAND ADMINISTRATION OFFICE-Ministry of Land ,Housing and Humman Settlement
    • Vitengo
      • Sports,Culture & Arts
      • ICT Unit
      • Government Communication Unit
      • Waste Management & Sanitation Unit
      • Legal Services Unit
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • Natural Resources & Environment Unit
      • Finance & Accounts Unit
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Utoaji wa Leseni za Biashara
    • Utoaji wa Lesseni za Vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa Leseni Za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya Asilimia Kumi(10%)
    • Upimaji wa Ardhi
    • Usajili wa Vikundi vya Kijamii
    • Uandikishaji wa Bima ya Afya ya Jamii(iCHF)
    • Utoaji wa Vitambulisho vya Wajasiriamali Wadogo
    • Kulipia Tozo Za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
    • Suku ya Kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Report
    • Vipeperushi
    • Miongozo Mbalimbali
    • By Laws
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Hotuba

Mgeni Rasmi akiwahutubia wafanyakazi MAY DAY

Imetumwa lini: May 1st, 2021

Mgeni Rasmi Mh.Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro aliyewakilishwa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Simanjiro Bi.Zuwena Ommary akijibu risala aliyesomewa na chama cha Wafanyakazi wa Wilaya ya Simanjiro katika maadhimisho ya sherehe za siku ya Wafanyakazi duniani zilizofanyika Kiwilaya katika mji  mdogo wa Orkesumet wilayani humo .

Kwanza ,Mh.Mgeni Rasmi aliwapongeza watumishi wote wa Umma  na Wa mashirika binafsi katika Wilaya ya Simanjiro kwa kufanya kazi kwa bidii  kulipopelekea Wilaya ya Simanjiro kupata mafanikio makubwa ya kiuchumi katika kipindi  kifupi.

Pili  aliwahimiza watumishi wa umma kufanya kazi kwa bidii na kwa kufuata sheria,kanuni na miongozo mbalimbali ya Serikali wawapo katika maeneo yao ya kiutendaji.

Tatu Mh mgeni Rasmi aliendelea kuhutubia watumishi kwa kusema kuwa serikali inayo mpango wa kuajiri watumishi wa kutosha katika sekta ya elimu ili kupunguza uhaba wa watumishi hao katika shule za msingi na sekondari ifikapo mwenzi July 2020.

Nne Mh. Mgeni rasmi Aliendelea kusema kuwa serikali imekuwa ikitoa ruzuku kutoka mfuko mkuu wa serikali ili kukarabati miundombinu katika sekta za elimu,maji barabara na Umeme ili kuboresha maisha ya wananchi  Wilayani humu.

Mh. Mgeni rasmi Aliendelea kwa kusema serikali  imetoa kibali cha kuwapandisha  madaraja watumishi 700 katika wilaya hii ifikapo mwenzi ujao,Hivyo aliwataka watumishi  kujitadhmini kama wanavyo vigezo na sifa za kupandishwa madaraja kabla ya kulalamika kwa muajiri wao.

Aidha Mh.Mgeni  Rasmi alieleza  kuwa serikali  ina utaratibu maalumu wa kuwafidia watumishi pindi wanapopata ajali sehemu za kazi iwapo watumishi hao watakuwa wanastahili stahiki hizo(Workkers compensation Fund).

Mh.Mgeni rasmi alihitimisha kwa kuwataka watumishi wa umma kuendelea kuchapa kazi kwa bidii ili kutimiza malengo ya Taasisi zao na Serikali kwa Ujumla.

Matangazo

  • Wanafunzi waliochaguliwa Shule za Vipaji maalumu,Ufundi,Bweni kawaida na shule maalumu 2023 December 14, 2022
  • wavulana waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2023 simanjiro day schools December 14, 2022
  • wasichana waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2023 Wilaya ya Simanjiro day schools December 14, 2022
  • Tangazo la Ajira Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro May 23, 2022
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • Nyerere day

    October 14, 2024
  • Mkutano wa wadau kuhusu utoaji wa maoni ya Dira ya Maendeleo ya mwaka 2050

    July 29, 2024
  • MWENGE WA UHURU

    July 16, 2024
  • Kifo Cha Raisi awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi 2024

    February 29, 2024
  • Ona vyote

Video

Mh.Dr Serera azindua kipindi cha Pili awamu ya Tatu ya TASAF Wilayani Simanjiro
video Zaidi

Fika kwa Haraka

  • Government Mailing System
  • Mission and Vision
  • Organization Structure
  • Completed Projects

Kiungo Muunganisho

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Matokeo kidato cha sita 2021
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Idara ya Habari-Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Government Mailing System

copyright@2016 Halmashauri ya Wilaya Simanjiro.Haki zote zimehifadhiwa