• Email za Serikali |
    • Malalamiko |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Mawasiliano |
    • Mifumo |
Simanjiro District Council
Simanjiro District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro

  • Mwanzo
  • About us
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Administration
    • Muundo wa Halmashauri
    • Sehemu
      • Infastructure,Rural and Urban Development
        • Works
        • Roads
        • Rural & Urban Development
      • Health,Social Walfare & Nutrition Services
        • Health Services
        • Nutrition Services
        • Social Walfare
      • Industry ,Trade and Investment
        • Industry Development & Investment
        • Trade & Marketing
      • Pre-Primary & PPrimary Education
        • Academics
        • Special Needs Education
        • Adult & Non Formal Education
      • Seconadry Education
        • Academics
        • Statistics & Logistics
        • Special Needs
        • Adult & Non Formal Education
      • Community Development
        • Cross-Cutting Issues Cordination
        • Ngos's & Cbos's Coordination
      • Agriculture,Livestock and Fisheries
        • Agriculture
        • Livestock
        • Fisheries
      • Administration & Human Resources Management
        • Human Resource Management
        • Utawala
      • Planning and Coordination
        • Planning and Budgeting
        • Monitoring and Evaluation
      • LGA'S LAND ADMINISTRATION OFFICE-Ministry of Land ,Housing and Humman Settlement
    • Vitengo
      • Sports,Culture & Arts
      • ICT Unit
      • Government Communication Unit
      • Waste Management & Sanitation Unit
      • Legal Services Unit
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • Natural Resources & Environment Unit
      • Finance & Accounts Unit
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Utoaji wa Leseni za Biashara
    • Utoaji wa Lesseni za Vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa Leseni Za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya Asilimia Kumi(10%)
    • Upimaji wa Ardhi
    • Usajili wa Vikundi vya Kijamii
    • Uandikishaji wa Bima ya Afya ya Jamii(iCHF)
    • Utoaji wa Vitambulisho vya Wajasiriamali Wadogo
    • Kulipia Tozo Za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
    • Suku ya Kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Report
    • Vipeperushi
    • Miongozo Mbalimbali
    • By Laws
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Hotuba

KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI

Imetumwa lini: August 13th, 2023

Meneja wa Ruwasa Eng.Joanes  alieleza kuwa  Wakala wa maji na usafi wa Mazingira Wilayani simanjiro inatoa huduma katika kata 12 zenye vijiji 45 ,Alisema kuwa  hadi kufikia mwenzi june,2023 hali ya upatikanaji wa maji wilayani Simanjiro ni asilimia 58.6% ya wakazi wote wa Wilaya ya Simanjiro  ,Aidha aliongeza kwa kusema kuwa mamlaka hiypo imefunga mashine za kusukuma maji katika kijiji cha Langai na betry ya generator katika kijiji cha kitiangare.

Pia katika kipindi  cha April hadi June 2023 Mamlaka ya maji na usafi wa mazingira vijijini (RUWASA) imeunda vyombo saba (7) vya watoa huduma ya maji ngazi ya jamii(CBWSO'S) na vyombo hivyo vimepewa mafunzo ya Ufungaji wa Hesabu

Aliongeza kwa kusema kuwa Mmlaka hiyina vituo 1522 vya kuchotea maji vinavyofanya kazi.

Kwa upande wa utekelezaji wa Miradi ya Maji alisema mamlaka hiyo inaendelea na utekelezaji wa miradi 15 ya maji ambayo iko katika hatua mbalimbali miradi hiyo ni pamoja na Mradi wa maji wa Olchorinyori,ukarabati wa miradi ya maji Nyumba ya Mungu na Lorkare,ujenzi wa mradi wa maji kijiji cha Ngage, wa mradi wa maji kijiji cha Nadonjukin,Engonongoi,Terrat,Lormorijoi na Loiborsoit B.

Uchimbaji wa visima katika vijiji vya Lengasit,Ruvu Remit(Ngido),Magadini (Ngoya C),Langai (Langai B),Ngorika (Kambi ya Chui) ,Kitiangare na Lerumo,Ufungaji wa Solar kwenye skimu 10 za maji katika vijiji vya Emboreet,Naberera,Losoito,Nadonjukin,Ngage,Terrat,Engonongoi,Langai,Olchorinyori na Kambi ya chokaa kupitia programu ya Carbon Credit,aidha mamlaka ilisanifu miradi ya maji katika vijiji vya Msitu wa Tembo,kiruan,londoto,magadini,korongo,londrokes,naberera,okutu na mwajanga.Mmlaka hiyo ilipanua mradi wa maji Naberera kwenda Losokonoi,lorbene pamoja na upanuzi wa mradi wa maji Komolo kwenda kitongoji cha Olembole-Lomshuku na Ujenzi wa miradi ya Losinyai-Einoth Katika kikao cha Baraza la kawaida la Madiwani kilichofanyika tarehe 13.8.2023 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro


Matangazo

  • Wanafunzi waliochaguliwa Shule za Vipaji maalumu,Ufundi,Bweni kawaida na shule maalumu 2023 December 14, 2022
  • wavulana waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2023 simanjiro day schools December 14, 2022
  • wasichana waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2023 Wilaya ya Simanjiro day schools December 14, 2022
  • Tangazo la Ajira Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro May 23, 2022
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • Nyerere day

    October 14, 2024
  • Mkutano wa wadau kuhusu utoaji wa maoni ya Dira ya Maendeleo ya mwaka 2050

    July 29, 2024
  • MWENGE WA UHURU

    July 16, 2024
  • Kifo Cha Raisi awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi 2024

    February 29, 2024
  • Ona vyote

Video

Mh.Dr Serera azindua kipindi cha Pili awamu ya Tatu ya TASAF Wilayani Simanjiro
video Zaidi

Fika kwa Haraka

  • Government Mailing System
  • Mission and Vision
  • Organization Structure
  • Completed Projects

Kiungo Muunganisho

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Matokeo kidato cha sita 2021
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Idara ya Habari-Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Government Mailing System

copyright@2016 Halmashauri ya Wilaya Simanjiro.Haki zote zimehifadhiwa