Monday 16th, May 2022
@SIMANJIRO
Ziara ya Rc.Manyara katika Wilaya ya SimanjiroZiara ya Mkuu wa Mkoa Wa Manyara Mh.Makongoro Nyerere aliyoifanya tarehe 13.8.2021 hadi tarehe 15.8.2021 katika Wilaya ya Simanjiro akikagua na Kuweka mawe ya msingi 14 katika miradi mbalimbali ya Maendeleo pamoja na kuzindua mradi waa maji wa Long'swan-Terrat
copyright@2016 Halmashauri ya Wilaya Simanjiro.Haki zote zimehifadhiwa