UCHIMBAJI WA MADINI
katika shughuli za uchimbaji wa madini katika wilaya ya simanjiro shughuli hii inafanyika katika mji mdogo wa mirerani na vitongoji vyake.
Aidha madini yanayopatikana katika wilaya ya simanjiro ni pamoja na madini ya Tanzanite ambayo yanapatikana wilayani simanjiro tuu duniani kote
madini mengine yanayopatikana wilayani simanjiro ni pamoja na madini ya chokaa
copyright@2016 Halmashauri ya Wilaya Simanjiro.Haki zote zimehifadhiwa