Ujenzi wa shule za sekondari kupitia mradi wa SEDEP ulianza mapema na kukamilika kwa haraka zaidi . Picha inayoonekana kulia ni mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Simanjiro Ndg Yefred Myenzi akikagua mradi huo na mhandisi wa ujenzi kulia
copyright@2016 Halmashauri ya Wilaya Simanjiro.Haki zote zimehifadhiwa