• Email za Serikali |
    • Malalamiko |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Mawasiliano |
    • Mifumo |
Simanjiro District Council
Simanjiro District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro

  • Mwanzo
  • About us
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Administration
    • Muundo wa Halmashauri
    • Sehemu
      • Infastructure,Rural and Urban Development
        • Works
        • Roads
        • Rural & Urban Development
      • Health,Social Walfare & Nutrition Services
        • Health Services
        • Nutrition Services
        • Social Walfare
      • Industry ,Trade and Investment
        • Industry Development & Investment
        • Trade & Marketing
      • Pre-Primary & PPrimary Education
        • Academics
        • Special Needs Education
        • Adult & Non Formal Education
      • Seconadry Education
        • Academics
        • Statistics & Logistics
        • Special Needs
        • Adult & Non Formal Education
      • Community Development
        • Cross-Cutting Issues Cordination
        • Ngos's & Cbos's Coordination
      • Agriculture,Livestock and Fisheries
        • Agriculture
        • Livestock
        • Fisheries
      • Administration & Human Resources Management
        • Human Resource Management
        • Utawala
      • Planning and Coordination
        • Planning and Budgeting
        • Monitoring and Evaluation
      • LGA'S LAND ADMINISTRATION OFFICE-Ministry of Land ,Housing and Humman Settlement
    • Vitengo
      • Sports,Culture & Arts
      • ICT Unit
      • Government Communication Unit
      • Waste Management & Sanitation Unit
      • Legal Services Unit
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • Natural Resources & Environment Unit
      • Finance & Accounts Unit
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Utoaji wa Leseni za Biashara
    • Utoaji wa Lesseni za Vileo
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
    • Utoaji wa Leseni Za Makazi
    • Utoaji wa Mikopo ya Asilimia Kumi(10%)
    • Upimaji wa Ardhi
    • Usajili wa Vikundi vya Kijamii
    • Uandikishaji wa Bima ya Afya ya Jamii(iCHF)
    • Utoaji wa Vitambulisho vya Wajasiriamali Wadogo
    • Kulipia Tozo Za Halmashauri
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
    • Suku ya Kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Report
    • Vipeperushi
    • Miongozo Mbalimbali
    • By Laws
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Hotuba

KIKAO KAZI CHA VIONGOZI WA WAFUGAJI NA WAKULIMA (W) SIMANJIRO

Imetumwa lini: January 5th, 2023

KAKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MAELEKEZO YA WAZIRI MKUU WA TANZANIA MH.KASSIM MAJALIWA ALIYOYATOA TAREHE 24/12/2022 YALIYOELEKEZA  VIONGOZI WA WILAYA KUKUTANA NA WAKULIMA  PAMOJA NA WAFUGAJI  KATIKA WILAYA ZAO ILI KUBAINI CHANGAMOTO WANAZOKUMBANA NAZO .

Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mh Dr.Suleiman  Serera leo tarehe  5 January 2023 alikutana na Viongozi wa Wakulima na Wafugaji wa Wilaya ya Simanjiro katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro.

Viongozi wa Wakulima na Wafugaji walitoa Changamoto na Mapendekezo yao zinazowakumba katika  maeneo yao ,baadhi ya changamoto za wakulima zilikuwa ni pamoja na bei ndogo za kuuza  mazao wanaozalisha ikiwemo zao la kitunguu wakati wa msimu wa mavuno,kukosekana kwa maghala ya kisasa ya kuhifadhia  mazao yao kwa muda mrefu,kukusekana kwa barabara  nzurina za kudumu  za kupitisha mazao yao  kupeleka sokoni wakati wa msimu wa mavuno pamoja na  kukosekana kwa huduma za kiusalama ikiwemo vituo vya polisi katika maeneo yao.

Kwa upande wa ufugaji viongozi  wa wafugaji walishauri kuwepo kwa mpango bora wa matumizi ya Ardhi ili waweze kutengewa maeneo mengi zaidi   ya malisho ya Mifugo yao.

Mwisho Mh.Mkuu wa Wilaya alitoa maelekezo kwa viongozi wa Wafugaji na Wakulima kutunza mazingira pamoja na vyanzo vya maji katika maeneo yao,Kuheshimu shughuli za kiuchumi za kila upande (Wafugaji na Wakulima) pamoja na Kuyalinda maeneo ya Malisho.

Aidha Mh.Mkuu wa Wilaya alisisitiza elimu itolewe  kwa wafugaji na wakulima ili waweze kufuga mifugo yao kwa tija.

Mwisho  aliahidi kushughulikia utekelezaji wa Mpango wa Matumizi bora ya Ardhi pamoja na kuwasihi wafugaji kufuata Sheria na Taratibu za Nchi ikiwemo kutoingiza Mifugo yao katika Meneo ya Hifadhi na Kwenye Mashamba ya Wakulima.

Matangazo

  • Wanafunzi waliochaguliwa Shule za Vipaji maalumu,Ufundi,Bweni kawaida na shule maalumu 2023 December 14, 2022
  • wavulana waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2023 simanjiro day schools December 14, 2022
  • wasichana waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2023 Wilaya ya Simanjiro day schools December 14, 2022
  • Tangazo la Ajira Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro May 23, 2022
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • Nyerere day

    October 14, 2024
  • Mkutano wa wadau kuhusu utoaji wa maoni ya Dira ya Maendeleo ya mwaka 2050

    July 29, 2024
  • MWENGE WA UHURU

    July 16, 2024
  • Kifo Cha Raisi awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi 2024

    February 29, 2024
  • Ona vyote

Video

Mh.Dr Serera azindua kipindi cha Pili awamu ya Tatu ya TASAF Wilayani Simanjiro
video Zaidi

Fika kwa Haraka

  • Government Mailing System
  • Mission and Vision
  • Organization Structure
  • Completed Projects

Kiungo Muunganisho

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Matokeo kidato cha sita 2021
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Idara ya Habari-Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Government Mailing System

copyright@2016 Halmashauri ya Wilaya Simanjiro.Haki zote zimehifadhiwa