MALIASILI
Halmashauri ya wilaya ya simanjiro imezungukwa na pori kubwa la hifadhi za wanyamapori kama vile tarangire nk
kupitia hifadhi hizo za wanyama shughuli za uwindaji halali pia ni moja ya shughuli zinazofanywa na wilaya simanjiro
na halmashauri inajipatia mapato yake ya ndani kupitia shughuli hii muhimu
copyright@2016 Halmashauri ya Wilaya Simanjiro.Haki zote zimehifadhiwa