Kwa mujibu wa matokeo ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, Wilaya ilikuwa na jumla ya wakazi 178,693, kati yao Wanawake ni 89,718 na Wanaume 88,975.Kwa mwaka 2018 Wilaya inakadiriwa kuwa na jumla ya wakazi 219,131, kati yao wanawake 111,757 na wanaume 107,374 sawa na ongezeko la asilimia 3.2 kwa mwaka.
Halmashauri ya Wilaya Simanjiro Bomani street-Orkesumet
Sanduku la Posta: P.o Box 9596,Orkesumet,Simanjiro,Manyara,Tanzania
Simu: Tel:027-29707889
Simu: +255-758350936
Barua pepe: ded@simanjirodc.go.tz
copyright@2016 Halmashauri ya Wilaya Simanjiro.Haki zote zimehifadhiwa