Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mh.Eng. Zephania Chaula akielekezwa teknolojia mpya ya ufungaji wa mabomba ya maji wakati akikagua mradi mkubwa wa Maji Wilayani Simanjiro jana tarehe 10 November 2020.
Katikati ni Meneja wa Mamlaka ya maji wilayani Simanjiro Eng,Johanes.
Halmashauri ya Wilaya Simanjiro Bomani street-Orkesumet
Sanduku la Posta: P.o Box 9596,Orkesumet,Simanjiro,Manyara,Tanzania
Simu: Tel:027-29707889
Simu: +255-758350936
Barua pepe: ded@simanjirodc.go.tz
copyright@2016 Halmashauri ya Wilaya Simanjiro.Haki zote zimehifadhiwa